F Majina matano ya waliofanikiwa kupita kwenye mchakato wa Urais kutajwa leo Zanzibar | Muungwana BLOG

Majina matano ya waliofanikiwa kupita kwenye mchakato wa Urais kutajwa leo Zanzibar


Leo  Visiwani Zanzibar yatatangazwa majina matano ya waliofanikiwa kupita kwenye mchakato wa kuwania nafasi ya Urais Visiwani humo baada wanachama 34 wa Chama Cha Mapinduzi CCM Zanzibar kuchukua fomu.