Rais wa Burundi amlilia Mkapa "Mungu awape nguvu Watanzani wote"
byMuungwana Blog 3-
0
“Nimehuzunishwa na kifo cha Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa, Mungu awape nguvu Watanzani wote, Familia, Rais Magufuli na Waafrika wote kwa kuondokewa na Mpendwa wao” -Rais wa Burundi, Ndayishimiye