Loading...

Jul 15, 2020

VIDEO: 194 wawania nafasi mbili za Ubunge Kawe na Kinondoni


Makada na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kinondoni wameendelea kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama hicho jimbo la Kinondoni na Kawe ambapo mpaka leo siku ya pili wamefikia 194 kwa majimbo hayo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger