VIDEO: Ajali ya lori na Noah yauwa watano Dodoma


Watu watano (5)wamepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajili ya Leo katika eneo la Kibaigwa Mkoani Dodoma iliyohusisha magari mawili Toyota Noah na Lori la mizigo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........ USISAHAU KUSUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items