F VIDEO: Breaking; Kumekucha Urais Zanzibar, CCM wafanya mchujo wapata 'TOP 5' | Muungwana BLOG

VIDEO: Breaking; Kumekucha Urais Zanzibar, CCM wafanya mchujo wapata 'TOP 5'


Kamati maalum ya Halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi Zanzibar, imepitisha majina matano Kati ya kada 31, waliomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais Zanzibar.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE