“Watu wa Lupaso mna bahati sana kumpa Mzee Mkapa ambaye ni Mzalendo aliyependa nyumbani kwao ndio maana hata akachagua akifariki azikwe Lupaso, nawashukuru wote waliowezesha shughuli za maazishi, leo sina maneno mengi, tumuache Mzee wetu Mkapa apumzike” -JPM