Babu Tale: Tangu umeniacha Mama TT nahisi bado nipo kwenye ndoto

 Ikiwa ni siku arobaini na tano zimepita tangu kufariki kwa aliyekuwa mke wa Meneja wa wcb wasafi Babu Tale kuaga dunia na ni takriban wiki saba tangu kwa BABU TALE Kupost Picha Yoyote Katika Mtandao Wake Wa Instagram

Kwa Mara ya kwanza leo BABU TALE amepost vdeo ya aliye kuwa mke wake na kusindikiza na Caption Inayosomeka....


''RIP my wife 💔💔💔 Ni 45 days tangu umeniacha Mama TT nahisi bado nipo kwenye ndoto''

Post a Comment

0 Comments