Mgombea wa Urais kupitia Chama cha NCCR Mageuzi achukua fomu

 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2020.m, Chama hicho kinakuwa cha kumi na tano (15) kuchukua fomu.

Post a Comment

0 Comments