Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada- JPM

“Mtu akisema nitapigiwa kura na vituo vya afya najua ndio wameshaanza kunipigia kampeni hivyo, maana vituo vya afya wametibiwa Wanawake watanipigia kura, Wazee hata walevi walilala humo watanipigia na inanipa nguvu kuwa ushindi wa mwaka huu utakuwa mkubwa”-JPM

“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi