Breaking News: Mgombea wa Ubunge kupitia NCCR-Mageuzi jimbo la Madaba ajitoa kwenye kinyang'anyiro


 

Na,Amiri Kilagalila, Ruvuma.

Mgombea wa Ubonge jimbo la Madaba mkoani Ruvuma bwana,Mkinga Ugin Gidion (Kulia) kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi,Amejitoa katika nafasi ya kugombea Ubunge wa jimbo hilo,huku mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo la Madaba Joseph Kibena akijiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti.



Post a Comment

0 Comments