KIWANJA KINAUZWA DODOMA

  

Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NARA, kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X 30 ), kiwanja ni kizuri sana watu wameshaanza kujenga na wengine washa hamia, Umeme na Maji vyote vipo. kutoka njiapanda ya Nkuhungu ni KM 3 mpaka kwenye kiwanja.. Piga simu 0719788949


Post a Comment

0 Comments