Vijue vyakula vinavyoimarisha utendaji wa kongosho yako

 

Kongosho ni kiungo mojawapo ndani ya mwili wa mwanadamu ambacho hufanya kazi ya kutoa vimeng'enyo vya chakula (digestive enzymes).

Pia kongosho au 'pancreas' kwa lugha ya kiingereza hutoa chachu ya insulin mwilini na kusaidia kusambaza sukari sehemu mbalimbali za mwili kutoka kwenye damu.

Kiungo hiki hupatikana tumboni na kimejishikiza karibu kabisa na utumbo mdogo (duodenum)  unapoanzia.

Leo nataka nikueleze baadhi ya vyakula au viungo vinavyoweza kuimarisha utendaji kazi wa kongosho yako:-

1. Kitunguu swaumu
Mbali na kuboresha afya ya kongosho, lakini pia kiungo hiki husaidia kuilinda kongosho dhidi ya saratani.

2. Spinach
Spinach pamoja na mboga nyinginezo za majani huweza pia kutoa ahueni kwa afya ya kongosho hasa kuikinga dhidi ya saratani.

3.Uyoga
Uyoga ni chanzo kizuri cha madini ya potassium, selenium, ambayo ni muhimu kwa ubora wa kongosho.

4. Viazi vitamu & matunda damu

Post a Comment

0 Comments