Waziri Majaliwa amtembelea mama Maria Nyerere

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara,


Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara


Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mtoto wa Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere, wakati alipowatembelea, nyumbani kwa Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara, Septemba 19, 2020.

Post a Comment

0 Comments