Katibu Mkuu Wa Ccm Dr. Bashiru Ally Kesho Kukutana Na Wazee Wa Ccm Zanzibar
byMuungwana Blog-
0
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Kesho Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM.