Loading...

Nov 17, 2020

Breaking: Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar afanya ziara ya kushtukiza Bodi ya mapato Zanzibar ZRB na kubaini kuwepo kwa Deni la Bilioni 17 Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar Nd. Joseph Abdalla Meza Kulia akimtembeza maeneo mbali mbali Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdalla alipofanya ziara fupi Makao Makuu ya Bodi hiyo Mazizini.

 Afisa Mapato wa Bodi ya Mapato Zanzibar {ZRB} Hamza Khatib Othman akitoa Taarifa ya Kitengo chake alipotembelewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdalla akitoa agizo la kupatiwa taarifa ya Wadaiwa sugu wa zrb ndani ya Siku saba ili wachukuliwe hatua.


Meneja wa Kitengo cha Amana ya Siri cha ZRB Bwana Ali Sharif Ali akimuelezea Mheshimiwa Hemed  utekelezaji wa majukumu yao katika Kitengo chao.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger