Mavunde aipa motisha timu ya Wanawake ya Mpira wa Kikapu ya Mkoa wa Dodoma

Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akikabidhi Tsh 1,000,0000 kwa timu ya Wanawake ya Mpira wa Kikapu ya Mkoa wa Dodoma kama motisha ya kuwafanya waendelee kufanya vizuri katika Mashindano ya Taifa Cup, Mpira wa Kikapu yanayofanyika Eneo la Chinangali,Jijini Dodoma.



 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items