KDCU yampongeza Rais Magufuli na Mama Samia



Na Clavery Christian Karagwe Kagera.

Bodi na menejimenti ya chama kikuu cha ushirika cha wilaya za Karagwe na Kyerwa KDCU kinapenda kutoa pongezi za dhati kwa mh.Dr.John.J.P.Magufuli kwa kuapishwa kuwa rais wa jamhuri ya moungano wa Tanzani na mh.Samia Suruhu Hassani kuwa makamu wa rais kwa kipindi cha pili 2020-2025.

"Tunawaombea kwa Mungi awaongoze katika utumishi wenu uliotukuka na Tanzania endeleee kuwa kinara Dunia kwa amani na Upendo.

Bodi ya KDCU itaendelea kusimamia menejimenti pamoja na watumishi ambao  wanatekeleza majukumu kwa naiba yenu, kuendelea kutoa huduma bora kwa wakulima wetu ikienda sambamba na uboreshaji wa ubora wa kahawa ili kumnufaisha mkulima wa zao hilo" Alisema Oscar Dominica Meneja mkuu.


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi