https://monetag.com/?ref_id=TTIb Shule 38 zafutiwa matokeo ya darasa la saba | Muungwana BLOG

Shule 38 zafutiwa matokeo ya darasa la saba

 


Matokeo ya Darasa la Saba yametangazwa leo ambapo NECTA imefuta matokeo ya mitihani ya Taifa ya darasa la 7 kwa shule 38, ambazo zimebainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani iliyofanyika Oktoba 7 na 8 mwaka huu, pamoja na kufuata matokeo ya watahiniwa 1,059, baada ya kubainika wamefanya udanganyifu.

Post a Comment

0 Comments