Nyumbani Tanzia: Kamanda Kidavashari afariki dunia byMuungwana Blog 3 -11/17/2020 02:17:00 PM 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro ametangaza kifo cha Naibu Kamishna wa Polisi, Dhahiri Kidavashari kilichotokea leo katika Hospitali ya Christian Medical Center Trust (DCMCT ) iliyopo Dodoma ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Facebook Twitter