VIDEO: Askari wetu wa kikosi amechinjwa Pemba-IGP Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa katika kipindi cha uchaguzi Kusini Pemba kuna askari mmoja wa kikosi alikukamatwa na wakereketwa wanaodhaniwa kuwa ni wa vyama vya upinzani ambapo alichinjwa na baadaye wakaondoka na silaha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items