Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama leo Novemba 2020 amezindua mfumo wa Uuzaji na Ununuzi wa Hisa kwa kutumia simu za mkononi, yaani The DSE Mobile Trading Platform unaojulikana kama 'HISA Kiganjani' wenye lengo la kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
