F VIDEO: Hali ilivyo na kinachoendelea kwenye ghorofa lililoanguka Zanzibar | Muungwana BLOG

VIDEO: Hali ilivyo na kinachoendelea kwenye ghorofa lililoanguka Zanzibar

Mtu mmoja ameokolewa na kukimbizwa hospitali huku juhudi za kuwanasua wengine zikiendelea baada ya jumba maarufu la Beit Al Ajaib lililokuwa likikarabatiwa kuanguka lililopo miji Mkongwa visiwani Zanzibar ambapo linakadiriwa kuwana ghorofa nne mpaka tano.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

0 Maoni