Jan 13, 2021

Magaidi saba wa DAESH washambuliwa

 


Magaidi saba wa DAESH wameshambuliwa katika operesheni ya anga iliyotekelezwa na Marekani.


Operesheni hiyo ya anga imetekelezwa Kirkuk nchini Iraq.


Ngome mbili za magaidi hao zimeripotiwa kushambuliwa katika bonde la Shai.


Operesheni dhidi ya shirika la kigaidi la DAESH ilizinduliwa karibu na wilaya ya Havice kusini mwa Kirkuk.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger