Ripoti kuhusu chanjo ya AstraZeneca yatolewa

 


Ripoti iliyotolewa na jarida la wiki la Financial Times la nchini Uingereza imeeleza kuwa taaarifa za mwanzo za chanjo ya COVID-19 ya Astra Zeneca zimeonesha kuwa chanjo hiyo ina uwezo mdogo wa kuzuia athati za virusi vipya vya corona kutoka Afrika Kusini. 


Watafiti wa chou kikuu cha Oxford wamesema wanaamini kwamba chanjo hiyo inaweza kultoa ulinzi dhidi makali ya magonjwa wa COVID-19 kwa kuongeza kinga ya mwili sawa na chanjo zingine ambazo zimeonyesha uwezo wa kudhibiti makali ya ugonjwa wa Covid 19 haswa muda wakuchoma chanjo hizo unapozingatiwa kati ya wiki nane hadi 12. 


Virusi vipya vinavyopatikana nchini Afrika Kusini vimeonyesha kuwa sugu dhidi ya chanjo zilizopo.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items