Simba yakamatwa na Azam FC, Chama akosa penati

 


Mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC umemalizika kwa sare ya 2-2, baada ya timu zote mbili kucheza kwa kushambuliana kwa kasi hususani kwa kupeana vipindi.


Simba walitangulia kwa goli la kipindi cha kwanza kutoka kwa Meddie Kagere dakika ya 38, ambalo lilidumu hadi mapumziko kabla ya Azam FC kurejea na kutawala mchezo.



Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items