Kuna namna nyingi ya kutengeneza uso iwe nyumbani au saluni. Pia ni vizuri kama kutakuwa na kuelekezana jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani.
Ni Muhimu ukafuata hatua zifuuatazo;
- Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako.
- Scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi na jani la chai.
- Fanya toning ya maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weka kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kaoro kwenye tatizo.
- Tumia ute mweupe wa yai ambao utakuwa umemwagika katika taulo lako na kujisugua tartibu.
- Jisafishe na maji ya vuguvugu .
- Fanya toning tena kama livyokuwa kwa hatua za tatu juu.
- Ili kuondoa ukavu za ngozi , kata matango na yabandike katika ngozi.
0 Comments