Rais Samia amteua David Kafulil kuwa RC Arusha


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. David Zacharia Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha. Kafulila anachukua nafasi ya Bw. Idd Hassan Kimanta ambaye amestaafu

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi