Mej. Jen. Marco Elisha Gaguti ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara


Rais Samia amemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mej. Jen. Marco Elisha Gaguti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Gelasius Gasper Byakanwa atapangiwa majukumu mengine


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi