Nyumbani Salum Hamduni ateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU byMuungwana Blog 3 -5/15/2021 03:44:00 PM 0 Hamduni aliyepandishwa cheo na Rais Samia Suluhu kutoka ACP hadi Kamishna wa Polisi (CP) amechukua nafasi ya Brig. Jen. Mbungo atakayepangiwa majukumu mengine Facebook Twitter