Nyumbani Stephen Kagaigai ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro byMuungwana Blog 3 -5/15/2021 03:49:00 PM 0 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanzania, Stephen Kagaigai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akichukua nafasi ya Anna Mghwira aliyestaafu Facebook Twitter