Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Penterine Kente kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka (wakwanza kulia waliokaa) akiwa katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufani mara baada ya hafla ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU