Mama Suluhu nipo hapa- Rais Samia


 "Kwa sababu mengi haya ni masuala ya kisheria naomba niyapokee nikakae na watu wangu pamoja nanyi, ili tuweze kuyafanyia kazi na tuje na suluhu, Mama Suluhu nipo hapa."

Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Kurasini mkoani Dar es salaam wakati akijibu risala ya Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Gervas Nyaisonga ambayo pamoja na mambo mengine ilibainisha changamoto ambazo Baraza hilo limekuwa likikumbana nazo katika kutimiza majukumu yake na kutoa huduma za afya na elimu katika maeneo mbalimbali nchini.


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items