Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini mkoani Dar es salaam, ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa kanisa hilo akiwemo Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoloki Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi na Rais wa TEC, Gervas Nyaisonga
Pamoja na mambo mengine atakuwa na mkutano na Maaskofu wa Baraza hilo.
Mkuu wa wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, Jokate Mwegelo @jokatemwegelo (aliyeinama kulia) akisalimiana na Rais Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye makao makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) yaliyopo Kurasini.