Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuendelea kuwakumbusha waumini wao kuhusu kujikinga na COVID19.
"Niwaombe sana Maaskofu na viongozi wengine wa dini mbali na mambo mengine tunayohubiri tusisahau kuwakumbusha wananchi kuchukua hatua zinazoshauriwa na wataalamu wa afya"- Rais Samia Suluhu Hassan.
