Samatta apewa mtaa Kibiti

 


Nahodha wa Timu ya Taifa Taifa Stars na mshambuliaji wa Klabu ya Fener Bahce ya Nchini Uturuki, Mbwana Ally Samatta  amepewa heshima ya jina lake kuitwa moja ya mitaa uliopo Kibiti mkoani Pwani.

Samata kupitia ukurasa wake amebainisha hayo kwa kuandika hivui;

"Mcheza kwao utunzwa Na nnayecheza nje nimetunzwa kwetu (KIBITI)

Ni Furaha sana kuona wazee wako wanakupenda Na kuthamini unachofanya. Asanteni wazee wangu Na asanteni wana kibiti 🙏🏾🙏🏾" 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items