F Simba yashusha gari mpya ya kisasa | Muungwana BLOG

Simba yashusha gari mpya ya kisasa


  Klabu ya Simba  imeamua kufanya kweli baada ya kuwashushia wachezaji wake gari jipya aina ya TATA Marcopolo (New Model) kwa ajili ya shughuli za safari ya klabu hiyo katika Ligi za ndani.

Gari hilo jipya Tata Marcopolo linamuonekano maridadi baada ya kubandikwa stika zenye nembo za wadhamini wa klabu hiyo.


Post a Comment

0 Comments