https://monetag.com/?ref_id=TTIb Hukumu ya Bernard Morrison kutolewa leo | Muungwana BLOG

Hukumu ya Bernard Morrison kutolewa leo


Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii.

Morrison anadai kuwa hajasaini mkataba wa kuongeza miaka miwili Yanga huku Yanga na wao wakidai mchezaji huyo ni mali yao.

Post a Comment

0 Comments