.

.

Sep 13, 2021

Dkt. Ashatu Kijaji ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndungulile atenguliwa

  Muungwana Blog 3       Sep 13, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb), kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Dkt. Kijaji anachukua nafasi ya Dkt. Faustine E. Ndugulile (Mb), ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

logoblog

Thanks for reading Dkt. Ashatu Kijaji ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndungulile atenguliwa

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment