Rais Samia amteua Dkt. Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Dkt. Tax anachukua nafasi ya Marehemu Elias John Kwandikwa.

Post a Comment

0 Comments