TANZIA: Zakaria Hanspope amefariki dunia


Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia Usiku wa Septemba 10, 2021 katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa Matibabu

Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin

Post a Comment

0 Comments