.

.

Sep 15, 2021

Ufaransa yaionya Mali dhidi ya maktaba wamamluki wa Urusi

  Muungwana Blog 3       Sep 15, 2021


Waziri wa ulinzi wa Ufaransa, Florence Parly, imeionya mali dhidi ya kuingia mkataba na kampuni ya usalama ya Urusi.

Kumekuwa na ripoti kwamba watawala wa kijeshi wa Mali wanakaribiwa kuwakodisha mamluki kutoka kampuni ya Wagner group.

Bi Parly alielezea uwezekano wa mkataba huo kama"jambo la kutisha" – akisema itadhoofisha juhudi za Ufaransa za kukabiliana na tisho la jihad katika kanda hiyo.

Kampuni ya Wagnerinaaminiswa kufanya kazi katika nchi kadhaa za Afrika, huku Urusi inataka kuongeza ushawishi wake katika mataifa ya Afrika.

Wafanyakazi wake wanapigana na waasi katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ambako makampuni ya Urusi ina uhakika wa kupata machimbo ya madini.

 

logoblog

Thanks for reading Ufaransa yaionya Mali dhidi ya maktaba wamamluki wa Urusi

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment