Afrika kusini yasitisha matumizi ya chanjo ya Sputnik V kutoka Urusi


Afrika Kusini imezuia matumizi ya Chanjo ya COVID 19 kutoka Urusi ya Sputnik V kwa madai inaongeza hatari ya kupata Virusi vya UKIMWI kwa Wanaume


Shirika la Afya Duniani (WHO) halijaidhinisha Sputnik V kwa matumizi ya dharura, lakini imekuwa ikitumika katika Mataifa 45 ikiwemo Zimbabwe na Namibia


Taasisi ya Gamaleya ambayo imetengeneza Chanjo hiyo imeahidi kuthibitisha kuwa haiongezi maambukizi kama inavyodaiwa na madai Afrika Kusini
 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items