NEC yatangaza uchaguzi mdogo katika jimbo la Ngorongoro kufanyika desemba 11


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ngorongoro Mkoani Arusha utakaofanyika Desemba 11, 2021 pamoja na Uchaguzi mdogo wa Diwani wa Kata ya Naumbu Mkoani Mtwara


Nafasi wazi ya Ubunge imetokana na kufariki kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro, William Ole Nasha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Septemba 27, 2021.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items