Oct 14, 2021

Polisi watatu wa Kenya mashakani baada ya mshukiwa wa mauaji kutoweka kizuizini

  Muungwana Blog 3       Oct 14, 2021


Maafisa watatu wa polisi wa Kenya wanaptarajiwa kufishwa mahakamani eo kukabiliwa na mashtaka ya kumsaidia mtu ambaye alikiri kuua watoto zaidi ya kumi kote nchini kutoroka.

Masten Wanjala alitoweka kutoka kwa seli za polisi katika mji mkuu, Naorobi saa chache kabla ya kuitikia shtaka la mauaji ya wavulana 14.

Polisi wameanzisha msako wa kumtafuta Wanjala ambaye alikuwa akizuiliwa katika kwa mauaji wa watoto hao kumi na wanne.

 

logoblog

Thanks for reading Polisi watatu wa Kenya mashakani baada ya mshukiwa wa mauaji kutoweka kizuizini

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment