Tetesi za soka kimataifa


Wamiliki wapya wa Newcastle Saudia wanapanga kuitegemea Ujerumani katika jaribio la kuigiza kupata mafanikio ya Jurgen Klopp na Thomas Tuchel katika ligi ya England. Mshambuliaji wa Chelsea Mjerumani Timo Werner, 25, ndiye mchezaji anayelengwa zaidi, pamoja na kiungo mlinda lango wa Bayern Munich na Mjerumani Niklas Sule, 26, Kiungo wa kati wa Barcelona MBrazili Philippe Coutinho, 29, na meneja Mjerumani kama vile meneja wa zamani wa Dortmund Lucien Favre. (Bild - in German)

The Magpies wamewasiliana na wawakilishi wa kiunga wa kati -nyuma wa Ufaransa anayechezea timu ya Leicester City Wesley Fofana kuhusu uwezekano wa uhamisho kwa ajili ya kijana huyo mwenye umri wqa miaka 20 katika mwezi wa Januari. (RMC Sport - in French)

Juventus' France midfielder Adrien Rabiot has also been linked with Newcastle, with the Serie A club open to selling the 26-year-old in January to help fund potential bids for Monaco's France midfielder Aurelien Tchouameni or Manchester United's Dutch midfielder Donny van de Beek, 24. (Calciomercato - in Italian)

Monaco wameweka bei ya euro milioni 60 kwa kijana mwenye umri wa miaka 20 Tchouameni, huku Real Madrid, pamoja na Manchester City, Chelsea na Liverpool wakimtaka mchezaji huyo. (Marca - in Spanish)

Barcelona wako makini kumuachilia Coutinho katika kipindi cha dirisha la uhamisho la mwezi Januari na Liverpool wako wazi kumrejesha tena mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 upande wa Merseyside. (El Chiringuito TV, via Express)

Meneja wa Leicester City Brendan Rodgers ndiiye mtu wa kwanza anayefikiliwa kuchukuliwa na wamiliki wa klabu ya Newcastle iwapo wataamua kumfuta kazi meneja wa sasa Steve Bruce. (Sky Italy via Mirror)

Meneja wa Foxes (Mbweha) Rodgers, hatahivyo, anasemekana ''kujitolea kikamilifu'' kwa klabu hiyo . (Telegraph)

Real Madrid wanania ya kusaini mkataba na mlinzi wa Chelsea Antonio Rudiger, 28. Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani unamalizika mwishoni mwa msimu na ataongeza uzoefu wake kwa klabu hiyo ya Uhispania. (Marca in Spanish)

Phil Foden imesitisha mpango wake wa kusaini mkataba na Manchester City wenye thamani ya karibu pauni milioni 50, huku makubaliano ya kiungo miaka sita ya huyo wa kati Muingereza mwenye umri wa miaka 21 yakimuwezesha kulipwa pauni 150,000 kila wiki (Mirror)

Arsenal wanajianda kwa dau la euro milioni 30 kwa ajili ya winga wa klabu ya Club Bruges mwenye umri wa miaka 22 Mholanzi Noa Lang. (Voetbal24 - in Dutch)

Manchester United wanaweza kufufua juhudi zao za kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma wa Sevilla Mfaransa Jules Kounde mwenye jumri wa miaka, ambaye pia bado analengwa na Chelsea . (Fichajes, via FourFourTwo)

Barcelona wamepiga hatua katika mazungumzo yao na kiungo wa kati wa Uhispania Pedri kuhusu mkataba mpya, na kiungo huyo wa miaka 18- yuko tayari kukubali mkataambao utaendelea hadi 2026. (Goal)

Mlinzi wa Borussia Dortmund na Ujerumani Mats Hummels, 32,amemuonya Erling Braut Haaland, 21, asipate "asipate mazuri'' akiondoka klabu hiyo. Manchester City, Manchester United, Chelsea na Real Madrid wote Wanaka kumsaini mshambuliaji huyo wa Norway. (Bild - in German

Paris St-Germain huenda wakamnunua mshambuliaji wa Fiorentina Dusan Vlahovic kuchukua nafasi ya msahambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, ambaye mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu. PSG, hata hivyo inakabiliwa na ushindani kutoka kwa Tottenham, Juventus na Bayern Munich kumpata mchezaji huyo wa kimataifa wa Serbia wa miaka 21. (Le 10 Sport - in French)

Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone alijaribu kumsajili Lionel Messi, 34, msimu wa joto na ametoa maelezo ya jinsi alivyompatia kibarua hicho mshambuliaji Luis Suarez kumshawishi mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona kujiunga na klabu hiyo kabla aamue kuhamia Paris St-Germain. (Ole, via Mail)

 

Post a Comment

0 Comments