Belarus imeituhumu NATO kwa kusanya jeshi mpakani


Waziri wa Ulinzi wa Belarus,Viktor Khrenin leo hii ameituhumu Jumuiya ya Kujihami ya NATO kwa kujijengea uwezo wa kijeshi karibu na eneo la mpaka wake. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa shirika la habari la taifa hilo, Belta.


Awali jana Lithuania ilisema NATO inapaswa kurekebisha msimamo wake kuelekea Belarus, ambayo jeshi lake linatajwa kuwa na muingiliano zaidi na jeshi la Urusi.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi