ADS

Nov 29, 2021

Mbunifu wa Louis Vuitton afariki dunia

  Muungwana Blog       Nov 29, 2021

 


Muanzilishi wa kampuni ya mavazi ya Off-White na mbunifu mkuu wa mavazi ya kiume katika kampuni ya Louis Vuitton, Virgil Abloh amefariki Dunia kwa ugonjwa saratani.


Virgil ameacha historia ya kuwa mtu mweusi wa kwanza Duniani kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa ubunifu katika kampuni ya Louis Vuitton.


Mbali ya kuwa mbunifu Abloh alikuwa ni DJ na mwanamziki na pia degree ya Civil Engineering.

logoblog

Thanks for reading Mbunifu wa Louis Vuitton afariki dunia

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment