Ticker

6/recent/ticker-posts

SHULE YA LAKE TANGANYIKA INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

      


 Tangazo tangazo la nafasi za masomo

Uongozi wa shule ya lake Tanganyika iliyopo kigoma vijijini inapenda kuwatangazia watu wote nafasi za masomo kama ifuatavyo.


Nafasi za kuhamia kuanzia kidato Cha Kwanza Hadi Cha tatu Pia Kuna nafasi za kuhamia na kujiunga na kidato Cha Tano na sita kwa tahususi za HGK, HKL na HGL.


Shule inafanya vizuri sana katika mitihani ya kitaifa.


Shule ni ya bweni na ni mchanganyiko wavulana na wasichana.


Ada zetu ni nafuu sana na zinamwezesha Kila mtanzania kufikia malengo yake.


Ada zetu ni laki nane kwa mwaka na zinalipwa mara nne kwa mwaka.


Kwa mawasiliano fika shuleni au piga namba zifuatazo. 0769697667 / 0624469016 / 0763091810 / 0686079828 / 0627557839.Post a Comment

0 Comments