https://monetag.com/?ref_id=TTIb Simulizi: Nilipomfuma mke wangu na Baunsa | Muungwana BLOG

Simulizi: Nilipomfuma mke wangu na Baunsa

 


Ilikua mwezi wa Machi mwaka huu, tulienda na mke wangu mashambani kwa likizo ndogo.  Mke wangu aliitwa kazini ghafla na hapo nikamruhusu arudi mjini kwa shughuli za kikazi kwa kua mimi bado nilisubiri nauli ya usafiri ishuke kiasi ili niweze kusafiri.

Baada tu ya kufika mjini, meneja wangu alinipigia simu akanieleza kuwa nilitakiwa kurudi kazini ili niweze kusambaza bidhaa fulani.

Wito ulikuwa ni wa ghafla na nilitakiwa nirudi haraka. Sikuwa na budi ila kurejea mjini kwa wakati ule, ingawaje nauli ilikua juu maradufu.

Siku iliyofuata nilijitayarisha na kufunga safari ya kuelekea Mjini, safari ilikuwa ndefu nay a uchovu mwingi kwani nilitumia usafiri wa magari ya kubeba mazao.


Nilifika mjini saa nne usiku na hapo nikafanikiwa kupata teksi iliyonifikisha hadi ambapo tulipokuwa tukiishi.

Jambo lililo nishangaza ni jinsi hali ilivyokua pale nyumbani kwani haikuwa kawaida ya mke wangu kuzima taa za chumba chetu cha kulala muda kama ule kwani nimezoea kumuona akilala kuanzia saa sita usiku baada ya kuomba na kumaliza kusoma nakala mbalimbali za masuala ya urembo kwenye mitandao.

Niliufungua mlango wa sebuleni taratibu na kuwakuta watoto wetu wakiwa wamesahulika sebuleni hapo wakiwa wamepitiwa na usingizi mzito kiasi hadi wasisikie mlango ukifunguliwa.

Niliamua kwenda katika chumba chetu cha kulala ili nimuamshe mke wangu na kumjulia hali.Wakati nausogelea mlango wa chumba chetu nilianza kusikia miguno na vilio vya kimahaba, sauti ya mke wangu ikimuhamasisha jamaa kuwa aendelee anampa raha.

Nilipata mshtuko na mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio huku jasho likinitoka kwa hasira. Nikafungua mlango wa chumbani na kuingia ndani na kumkuta jitu la miraba minne likimsulubu mke wangu pale katika kitanda changu

Nguvu zikanishia ghafla cha ajabu mke wangu wala hakujali mdo kwanza akambadilishia staili njemba huyo huku akimwambia amalizie asijali

Uvumilivu ulinishinda nikatoa sauti kama mwenye nyumba kuwauliza mnafanya nini hapa? Cha ajabu mke wangu ndiye aliyekuwa wa kwanza kunijibu kuwa nitulie huku wakiendelea kula raha.

Uvumilivu ulinishinda nikajikaza kiume kwenda kuwavamia pale kitandani lakini nikaambulia kofi zito lililonipeleka moja kwa moja sakafuni.

Kijeba kile kilidiriki hadi kunitishia uhai huku akivaa nguo zake na mke wangu kwa kebehi naye aliinuka kitandani hapo huku akinibinulia mdomo na yeye kuanza kuvaa nguo zake na kisha kuanza kupanga nguo zake na kuondoka na jamaa njemba huyo akiwachukua na watoto wetu wote wawili

Mwili wangu ulipatwa na ganzi nisijue cha kufanya, maumivu ya kusalitiwa na mke wangu niliyempenda hayakuwa na mfano na taratibu nilianza kusikia maumivu pia kwenye taya langu nikagundua ile ngumi niliyopigwa huenda limeniachia hitilafu kwenye taya langu. Machozi yalinitoka usiku kucha na kulipokucha nilienda kuripoti kazini kama nilivyotakiwa.

Sikuwa na raha moyoni na meneja wangu alilifahamu hilo haraka akaniita na kuniuliza kilichonisibu. Nilijisikia aibu kueleza kilichonikuta, Nilibaki kusononeka moyoni huku kila mmoja akinihurumia. Nampenda sana mke wangu na licha ya kunitenda vile lakini moyo haukuwa tayari kumuacha

Mwezi mmoja baadae nilimueleza kisa kile mhasibu wetu wa kazini alinishangaa sana kwanini sijaoa mwanamke mwingine ila nilimueleza ukweli kuhusu ninavyompenda mke wangu.

Alinishauri nimtafute Daktari Kiwanga ili anisaidie tatizo langu na siku iliyofuata nilifunga safari na kwenda hadi kwa dakrari huyo.

Alinuhudumia na kurejea nyumbani. Baada ya siku moja nilipokea simu ambapo mke wangu alilalamika kwamba alikuwa wamenasana na huyo jamaa wakati wakifanya mapenzi. Alilia kwa kishindo na kuomba msamaha. Nilifahamu fika kwamba daktari Kiwanga alikuwa ameshafanya yake huko.


Baadaye nilifika mahali walipokuwa na kumpigia daktari Kiwanga ambapo aliwanasua baada ya Njemba huyo kulipa ada ya shilingi elfu thelathini za Kenya.

Mke wangu aliniomba msamaha na kujutia tabia yake. Tulisameheana na kurudi pamoja kama mke na mume jinsi tulivyokuwa zamani. Tangu siku ile ndoa yetu ilikuwa yenye furaha kila wakati kwa sababu ya kuaminiana.

Mtu yeyote aliye na shida ya migogoro ya kila mara kwenye ndoa anapaswa kutembelea madaktari wa Kiwanga ambao watasuluhisha kwa njia ya haraka. Kando na kusuluhisha migogoro ya ndoa, madaktari hawa pia wanasuluhisha mizozo ya mashamba, kifafa, ukosefu wa kutopata mtoto na mengineyo. Wasiliana nao kwa anuani zifuatazo:

Barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com au waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965 .

Post a Comment

0 Comments