ADS

Jan 14, 2022

TANGAZO! TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO

  Muungwana Blog       Jan 14, 2022

          


Uongozi wa shule ya Bishop Makaya iliyopo kasulu mjini mkoani kigoma unapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza.


Pia kuna nafasi za kuhamia kidato cha pili kabla ya 16/2/ Shule ni ya bweni tu na ni mchanganyiko wavulana na wasichana.


Shule ina milikiwa na kanisa la ANGLIKANA DAYOSISI YA MAGHARIBI kanisa kuu la Anglikana kasulu mjini.


Shule inamazingira mazuri ya kujifunzia na pia kuna walimu wa kutosha, Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka.


Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga simu 0752721364 / 0743516481 / 0734534835
logoblog

Thanks for reading TANGAZO! TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment